Wanachuo wa chuo cha SAUTI tawi la mtwara leo wameandamana mpaka kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara kutaka ufumbuzi juu ya mikopo yao kama wanachuo kutoka kwenye bodi ya mikopo.
Madai yao kwa sasa ni kutolipwa miezi 4 ndipo wakaamua kuandamana maandamano ambayo hayakuwa rasmi hivyo jeshi la polisi mkoa wa mtwara likaingilia kati na kuzima maandamano hayo yaliyoanza mchana majira ya saa 8 mpaka saa 10.
|
No comments:
Post a Comment