MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 11 June 2014

NEWS ALERT!!!JESHI LAINGILIA KATI KUTAWANYA MACHINGA, MABOMU YARINDIMA

 Taarifa ya awali inasema kuwa Bomu ya machozi yameripuliwa kuwatawanya wafanyabiashara hao, huku jeshi likiingilia kati baada ya vurugu kuwa kubwa na kusababisha majibizano ya Machinga kuwarushia mawe polisi, ilhali polisi wakifyatua mabomu ya macho.

Tutakuletea undani lakini tazama picha zikionesha hali ilivyokuwa asubuhi ya leo.
 

Na Mwanaharakati.

No comments: