![]() |
Ni kijana mdogo ambaye jina lake halikufahamika maramoja baada ya kuhojiwa na mmoja wa maofisa kazi mkoani Pwani akagoma kujielezaakifanya ukonda katika daladala namba
T306 BPP TOYOTA HIACE.
|
Pamoja na juhudi za wizara hiyo mkoani humo, ajira hizo
zaendelea kuwapo katika mkoa huo, ambapo wafanyakazi wa wizara hiyo wanakiri kupokea kesi nyingi
zinazohusisha watoto wakiwa wameacha shule na kujitafutia ajira lakini wengine
wakiachishwa na kupelekwa kufanya kazi na wazazi wao.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment