Mwandishi habari Felister Kulwijira |
Taarifa
inayochunguzwa na mwandishi wa habari FELISTER KULWIJIRA, inasema kuwa waganga
wa kienyeji na viongozi wa kimila, wanasikilizwa sana na kusababisha athari
kubwa kwa kufanya utatuzi wao huku jamii ikiendelea kudidimia kwani anayebakwa
anashindwa kupata maendeleo.
Madhara
yanayojitokeza katika jamii ni pamoja na magonjwa ya kuambukiza hasa ya zinaa,
watoto kuishi kwa hofu, ukosefu wa elimu kwa watoto, lakini pia haki za
binadamu kuvunjwa kwa wanaobakwa, pamoja na rushwa kujitokeza katika familia
husika.
Kutokana
na ubakaji huo unaoendelea wilayani humo, jamii imetakiwa kuwafichua na
kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wa ubakaji, ili wachukuliwe hatua za kisheria
na kukemea wengine wasifanye hivyo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment