
Akizungumzia tukio hilo, Amanda
juu pichani, alisema lilitokea siku ambayo mwongozaji mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia
(Mei 30) ambapo hakujua ni nani aliyemchanja usiku kwani alishtuka asubuhi na
kuona akivuja damu zikiashiria kuchanjwa kwa wembe.
“Nilijikuta nimechanjwa lakini Mungu
ni mwema, waliofanya hivyo kama walikuwa na nia mbaya, wameshindwa kwani
nilikwenda kuombewa kanisani halitanipata lolote,” alisema Amanda.
Alisema marehemu Recho aliwahi
kuchanjwa, hivyo inatisha kuona name linanitokea wakati huu ambao tunakumbwa na
vifo vya wasanii wenzetu.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment