MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 10 June 2014

NEWS ALERT!!!RAIS KIKWETE AZINDUA CHAPISHO LA TATU LA TAARIFA ZA MSINGI ZA SENSA

Rais Kikwete
Mwenyekiti kamati ya Sensa Hajati Amina Said
Wadau wa sensa wakifuatilia hotuba ya rais.
Katika hotuba yake, rais Kikwete amekemea ujenzi holela katika miji mbalimbali hapa nchini kwakuongeza kuwa ni lazima jamii itambue mpangilio, ili kuwezesha utoaji wa huduma pasipokubananisha majengo huku wakitakiwa kujenga nyumba iliyokamilika miundombinu muhimu hasa kuwa na vyoo.

Amesema wakati umefika wa kuhamasisha akina mama kujifungulia katika vituo vya matibabu, ili kudhibiti vifo vya watoto na akina mama wakati wa kujifungua, sambamba na kukomesha unyanyasaji wa kijinsi.
PICHA ZOTE NA MAKTABA
Na Mwanaharakati.

No comments: