MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 2 June 2014

RADIO YA JAMII KUTIMIZA MIAKA 8 IRINGA.

Ni E FM ambayo imesherehekea kurtusha matangazo yake kwa miaka 8 na kufanya uzinduzi wilayani Temeke mkoani Dar es salaam.
WATANGAZAJI na wanahabari wa kituo cha radio cha Ebonby Fm, cha Iringa, kituo kinachorusha matangazo yake katika mikoa zaidi ya sita nchini, wamesherekea kutimiza miaka 8 ya uwepo wa redio hiyo hewani.
 Hafla hiyo iliyofanyika katika Club ya La- Part ukumbi wa burudani wa kisasa uliopo eneo la Gangilonga,  manispaa ya mji wa  Iringa.
                 
Picha za Iringa ni kwa hisani ya Oliver Motto

No comments: