Wamesema kuwa kuna uwezekano wa kulima mazao mbadala akama mahindi, mihogo, maghimbi na viazi ambavyo vinakomaa haraka, ili viwe mbadala wa chakula, huku wakisisitiza kuwa waache mila potofu ya kuwa hawawezi kula chakula tofauti na ndizi.
Hatahivyo mahindi ni zao mojawapo linalostawi sehemu yoyote, na linaweza kutumika kwa njia mbalimbali kama ugali, mahindi ya kuchemsha, mbolea, na chakula cha mifugo, ilhali haijalishi ni msimu gani bali waweza kumwagilia hata kama ni msimu wa kiangazi.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment