![]() |
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusinimwa Afrika
(PTA) leojijini Dar es salaam.
![]() |
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akifunga semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benkiya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusinimwa Afrika
(PTA) leo jijini Dar es salaam.
Amesistiza kuwa Wafanyabishara nchini watumie fursa ya semina hiyo iliwaweze kuandaami kakati yakibiashara ya muda mrefu,
wakati namuda mfupi waweze kujiletea maendeleo yao nanchi kwaujumla.
Mkurugenziwa Double
TreeAyaz Ali
Jivraj akiuliza swali juu ya namna wafanyabiashara wanavyoweza kunufaika na huduma za kibenki kupitia Benkiya
PTA wakati wa semina yawafanyabiashara jijini Dar es
salaam.
Na Mwanaharakati.







No comments:
Post a Comment