Taarifa inasema kuwa jaj Lewis amefariki mchana leo,
alipokuwa amelazwa katika hospital ya AMI TRAUMA CENTER Masaki Dar es salaam,
kutokana na kusumbuliwa na malazi mbalimbali.
Jaj Lewis Makame, aliwahi kuwa mwenyekiti wa tume ya
uchaguzi nchini.
Endelea kufuatilia tutakuletea undani wa habari hii.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment