Taarifa za awali zinasema kuwa wanajeshi hao ni miongoni mwa watu 12 waliokamatwa kuwa nchini kinyume cha sheria.
Wamebainika bada ya kuonesha vyeti vyao vya jeshi la Nepal pamoja na wengine nane wanaosadikiwa kuingizwa nchini kinyume cha sheria kwa kisingizio cha maisha magumu.
Tutakuletea undani wa taarifa hii.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment