Mwanamume wa Ujerumani ambaye anaongoza rikodi ya dunia kuwa na mwili
uliotogwa mara nyingi kabisa ameketaliwa ruhusa ya kuingia Dubai, baada ya
kwenda huko kutokeza katika klabu ya starehe.
Ameeleza kwenye mitandao ya kijamii kuwa alikataliwa na maafisa wa uwanja wa ndege kuingia nchini kwa sababu, kama alivosema, alikuwa "mchawi".
Bwana Buchholz ameapa kuwa hatarudi tena Falme za Kiarabu.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment