MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Thursday, 21 August 2014

MUHIMU SANA!!! WANANCHI WANAONUFAIKA NA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA NSSF, WAZINGATIE HOSPITALI WALIZOCHAGUA KUTIBIWA.

Bw. SIRAJI KISAKA
Hatahivyo amesema kuwa mfuko huo unatoa fursa ya mtu kuchagua hospitali nyingine kila baada ya mwaka mmoja, na kama mwanachama anamwenza anayeishi katika eneo lingine, anatakiwa kuchagu hospitali huko anapoishi, ambapo pia wateja wanapatiwa huduma ya rufaa kutoka hospitali husika.

Bw Kisaka ameongeza kuwa wateja wamekuwa wakilalamika kuwa hawapatiwi huduma, kutokana na kujichanganya katika kufuata huduma katika maeneo teule kupatiwa huduma stahiki.
Mkurugenzi mtendaji Kasibante fm redio Bw Richad Leo, akimtambulisha afisa Kisaka kwa wafanyakazi wa redio hiyo.
Baadhi ya watangazaji wa redio Kasibante wakipitia fomu za matibabu za NSSF.
Mhariri wa habari Kasibante Bw Meddy Mulisa.

Tafawa Said Kayera, mtangazaji wa kipindi cha michezo redio Kasibante Bukoba, akipokea fomu ya matibabu ya NSSF.

Na Mwanaharakati.

No comments: