Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa tume hiyo Mh. SAMWEL SITTA, amesema kuwa majadiliano ya kanuni yanaenda vizuri, hivyo watanzania wasi na wasiwasi wa kazi hiyo, lakini akasisitiza kuwa watanzania wasisikilize maneo ya uchonganishi yanayoweza kukwamisha zoezi hilo.
Katika mapendekezo yake, tume ya Warioba imezungumzia kuhusu Tanganyika na jinsi ya kumiliki ardhi, mambo ambayo Sitta amesema kuwa tume hiyo ilikuwa imeyaacha lkn kwa sasa imeona kuna sababu ya kuyawasilisha, nao wameyapokea na yatafanyiwa kazi.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment