MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 22 August 2014

NEWS ALERT!!! WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VYUO VIKUU NCHINI.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimaiana na Mwenyekiti wa  Wanawake  wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo  vya Elimu ya Juu  (THTU) Leah  Ntara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro  kwa ajili ya kufungua mkutano wa Baraza Kuu la Pili la THTU kwenye Hoteli ya Naura Spring mjini Arusha August 21, 2014.Katikati ni Mwenyekiti wa THTU, Yusufu Singo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano Mkuu wa Pili wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu nchini (THTU) kwenye ukumbi wa Hoteli ya  Naura  Spring mjini Arusha August 21, 2014.

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia zawadi  ya nembo ya kioo yenye picha yake aliyopewa na  Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu (THTU) kwenye ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mjini Arusha August 21, 2014.
Na Mwanaharakati.

No comments: