MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 22 August 2014

BREAKING NEWS!!! FURSA KWA VIJANA MKOANI KAGERA

Renatus Bwemelo akiwa ofisini
 Akizungumza na mtandao huu, mwenyekiti wa umoja huo Bwana Renatus Bwemelo, amesema kuwa ni sawa na kununua kifaa hicho taratibu yaani unweka robo ya gharama na unaendelea kupunguza deni taratibu, jambo ambalo linawasaidia wasiopata fedha ya kununua chombo kwa wakati mmoja.

Ametaja baadhi ya vifaa vinavyopatikana kwao kuwa ni pamoja na Pikipiki, Solar saizi zote, Generator kubwa na ndogo, Pikipiki za taili tatu, mashine za kulimia nk.
Vipeperushi vikionesha vifaa vinavyopatikana katika umoja wao
Na Mwanaharakati.

No comments: