![]() |
| Mwandaaji wa vipindi hivyo Nicolaus Mac Ngaiza akiwa studio za Kasibante fm Bukoba. |
![]() |
| Mmoja kati ya akina dada mwenye umri wa miaka 21 baada ya kuolewa akiwa na miaka 15 na sasa ana watoto wanne. |
![]() |
| Nicolaus akizungumza na wazazi pamoja na walezi mbalimbali katika wilaya ya Muleba. |
![]() |
| Ni mmoja kati ya wauguzi ambaye atasikika katika makala ya pili akizungumzia hatari ya kujifungua katika umri mdogo. |
![]() |
| Mac Ngaiza katikati, akiwa na mtaalamu wa habari kulia Bi Haule na mwandishi habari kutoka redio afya Mwanza Juma Idd, wakijadili uboreshaji wa makala za redio. |
![]() |
| Baada kukusanya matukio mbalimbali kuhusu uzazi kwa wenye umri mdogo, sasa Nicolaus akiwa studio za MACMEDIA PRODUCTION ku-edit vipindi hivyo. |
Na Mwanaharakati.






No comments:
Post a Comment