MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 23 August 2014

NEWS ALERT!!! PINDA USO KWA USO MKAPA MWANZA.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza.

Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarest Ndikilo (kulia) na Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza  August 22, 2014 ambako August 23, 2014 anatarajiwa kuongoza  harambee  iliyoandaliwa na Mkapa Foundation.
Na Mwanaharakati.

No comments: