![]() |
|
Pichani
ni mfanyakazi wa kiwanda cha Nondo kinachomilikiwa na kampuni ya kichina ya
HONG YU STEEL (T) LTD kilichopo ZEGEREN mkoani Pwani.
|
Mfanyakazi
huyu amegundulika baada ya wafanyakazi wa wizara ya kazi mkoani Pwani
walipofika kukagua utekelezaji wa sheria za kazi
Alilipukiwa
na mtungi wa gesi nakuungua uso mzima akiwa katika kuchambua vyuma chakavu (scraper
) kabla ya kuviingiza jikoni.
Inaarifiwa
kuwa ajali za namna hii zimekuwa zikitokea mara kwa mara lakini taarifa zake zinafichwa
bila kufika kwenye mamlaka husika.
![]() |
| Wafanyakazi wakichambua viatu aina ya Yeboyebo, tayari kusambazwa sokoni katika moja wa viwanda mkoani Pwani. |
![]() |
| Ni viroba vinavyozalishwa na kiwanda cha HILLS PACKAGING LTD. |
![]() |
| Mmoja wa wafanyakazi wa Idara ya kazi Pascal Rwechungura Ngaiza |
Katika
ukaguzi huo, wafanyakazi hao walitembelea pia kiwanda cha kisasa cha
kutengeneza viroba kinachomilikiwa na mtanzania bwana Hilary Shoo
kijulikanacho kama HILLS PACKAGING LTD.
Na Mwanaharakati.




No comments:
Post a Comment