MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 9 August 2014

PINDA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama batamzinga kwenyebanda la wilaya ya Ukerewe katika maonyesho ya wakulima Nanenane ya kanda ya ziwa yaliyofanyika  jijini Mwanza  August 8, 2014 na kufungwa na  Waziri Mkuu. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza , Mhandisi Evarest Ndikilo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya Kilimo Kwanza kutoka kwa Yusuf Sinare Yusuf  ambayo imetolea na Baraza la  Taifa la Kueneleza Wakulima (ACT) kwa niaba ya wakulima, wafugaji na wavuvi nchini katika monyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kikanda  na kufungwa na Waziri Mkuu jijini Mwanza August 8, 2014.
Na Mwanaharakati.

No comments: