
![]() |
Bi Razia Mwawanga ambaye mkuu wa mafunzo wa mfuko wa waandishi wa habari nchini, TMF akifafanua jambo. |
Picha juu na chini ni waandishi mbalimbali na wahariri wakifuatilia kwa umakini utaratibu wa kupitia habari hizo.
Tanzania media Fund hutoa ruzuku kwa waandishi habari wenye mawazo na tetesi za uchunguzi ili wazifanyie kazi hasa vijijini, na baada ya kuhakikiwa ubora wake huzirusha kupitia vyombo vyao vya habari.
Mkutano unaondelea Dodoma, utakamilika baada ya siku mbili kwa kuwashirikisha wahariri, na baadhi ya waandishi habari kutoka nchini kote.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment