MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Tuesday, 9 September 2014

AJALI NYINGINE YASABABISHA KIFO MBEZI DAR ES SALAAM



Mwanamke huyo jina lake halikufahamika mara moja amepoteza maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY leo katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.

Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha.

No comments: