Mtandao huu unaendelea na mawasiliano na kamanda wa polisi mkoani Kigoma, ili kutupa taarifa sahihi kuhusu basi la abiria mkoani humo lililokuwa likitoka Kakonko kwenda Kahama, kuwa inasadikiwa kuna watu waliopoteza maisha.
Tutakuletea undani wa taarifa hiyo
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment