BINTI MMOJA amekutwa ameuawa katika
maeneo ya makaburi ya kata NYATUKALA na maiti yake kuachwa pembezoni mwa
kaburi.
Mwili ulionekana kama marehemu
alichomwa na kitu chenye ncha kali katika sehemu za mabega, na kusababisha
kuvuja damu nyingi hatimaye kupoteza maisha.
Polisi inaendelea na uchunguzi wa
tukio hilo, kwani hata wenyeji wa kata hiyo wanasema hawamjui binti huyo.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment