Habari
zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya barabara mkoani Dodoma zimefungwa
ili kuzuia maandamano yaliyopangwa kufanywa na chadema mkoani humo.
Barabara
zizofungwa ni barabara kuu kutokea Stend kuelekea Morogoro, na barabara ya
Dodoma Inn kutokea bungeni zimefungwa huku bado viongozi wa chama hicho
wanasisitiza kuendelea kuandamana mkoani humo.
Na Mwanaharakati.

No comments:
Post a Comment