MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 1 September 2014

BREAKING NEWS!!! NDEGE YAUA WATATU MWANZA.

Ni baada ya kuanguka ikielekea Kenya kutokea Mwanza, ikiwa ni mizigo na watu watatu ambao taarifa iliyotufikia inasema wote wamaungua baada ya ndege hiyo kudondoka.

Inasemekana imedondoka kwenye msitu wa Serengeti, endelea kufuatilia tutakuletea undani wa taarifa hiyo.
Na Mwanaharakati.

No comments: