Undani wa taarifa za ndege aina ya Fokker F-27-500
yenye nambari za usajili 5YSXP kutoka Safari
Express Limited, unasema kuwa ilikuwa na abiria watatu na iliondoka Mwanza Tanzania,kwenda Magadi nchini Kenya.
iliondoka uwanja wa Mwanza jana jumapili saa 10:26 jioni, ikiwa katika futi 14,000 kutoka usawa wa bahari, ilipotea kwenye rada ya Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).
mwongoza ndege wa uwanja huo bwana Peter Clever Davor, amesema ndege hiyo imegundulika katika hifadhi ya taifa ya Serengeti nchini Tanzania.

Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment