MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 15 September 2014

HOT NEWS!!!KESI DHIDI YA MCHAKATO WA KATIBA YATUPWA NJE

Ni iliyofunguliwa na Said Kubenea, ikiwa ni moja kati ya kesi tatu zilizofunguliwa dhidi ya mchakato huo wa katiba.

Katika kesi hiyo, Kubenea alidai kuwa mchakato umeendeshwa kinyume hivyo kuitaka mahakama kusimamisha vikao vinavyoendelea ambapo mwanasheria mkuu wa serikali anasema kuwa kesi hiyo imetupwa kutokana na makosa ya kiufundi.

Taarifa inasema kuwa kesi hiyo ilisikilizwa na mahakimu watatu.
Na Mwanaharakati.

No comments: