MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Monday, 15 September 2014

WAZIRI MKUU PIDA AFUNGUA MAJADILIANO KUHUSU USHIRIKIANO SERIKALI NA SEKTA BINAFI(PPP DIALOGUE)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Bw. Lord Hollick ambaye ni  Mjumbe wa Masuala ya Biashara wa Waziri Mkuu wa Uingereza nchini  Tanzania katika majadiliano  kuhusu  ushirikiano baina ya serikali na Sekta Binafsi  (PPP Dialogue) kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Sept. 15, 2-14.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa  wa Kampuni ya Japani ya  SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni Rais wa kampuni hiyo, Nakamura Kumharu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwanaharakati.

No comments: