MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Wednesday, 17 September 2014

NEWS ALERT!!!FURUSA NYINGNE SASA, MKOPO WA PIKIPIKI WANUSURU MAISHA YA VIJANA KAGERA

 Pamoja na kukopeshana pikipiki, pia wanakopesha vifaa vya umeme wa jua SOLAR, Trekta za kulimia, Generator na mengineyo, ambapo mwanachama anajiunga kwa sh elfu sabini na baada ya hapo anaomba kukopeshwa kifaa chochote huku akitanguliza robo ya gharama yake na kiasi kingine kinalipwa kutokana na uzalishaji wako.
 
 
Jana zimegawiwa Pikipiki 60 kwa walioomba ambapo utaratibu huo unaendelea kwa wenye uhitaji.

Chama kilianza kutoa huduma yake katika manispaa ya Bukoba, lakini sasa kimejitanua na kutoa huduma yake mkoa mzima kwa vijana wote na lengo ni kuenea kanda ya ziwa.
Na Mwanaharakati.

No comments: