MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 12 September 2014

TCU YATOA TAARIFA, WANAFUNZI ELFU 12 WAKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU 2014.



Tume ya vyuo vikuu TCU  imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo. 

TCU  wametoa  maelekezo  mengi  na  wanasema  nafasi  bado  zipo  tena  ni  nyingi  tu  kuliko  hata  idadi  ya  wanafunzi.

Na Mwanaharakati.

No comments: