Ajali mbaya imetokea jana alfajiri katikati
ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko katika eneo la Kawe pembeni ya makao makuu
ya JKT Mlalakuwa, Dar es Salaam.
Dereva wa gari hilo amefariki papo hapo na kuacha
vipande vya ubongo vikining'inia
katika vyuma vya daraja hilo baada ya gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye
namba za usajili T220ABL kugonga
na kisha kuingia kwenye ukingo wa daraja hilo na kutumbukia kwenye mto.
Na Mwanaharakati.


No comments:
Post a Comment