Mkuu wa kitengo cha sheria CHADEMA,
Tundu Lisu, (Katikati), akiongozana na washtakiwa kwenye kesi ya kukusanyika
isivyo halali wakati wakitoka mahakama ya wilaya ya Dodoma Jumanne Septemba 23,
2014. Lisu ambaye alikuwa akiwatete washtakiwa hao ambao baadhi yao ni viongozi
wa chama hicho mkoani Dodoma, alisema, walishtakiwa kwa kosa la kukusanyika
isivyo halali hapo Septemba 18, mwaka huu,wiki iliyopita na waliachiwa
huru kwa dhamana.
|
No comments:
Post a Comment