MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 26 October 2014

BAADA YA TAARIFA ZA WAZIRI KURUSHIANA RISASI NA MWANAYE,TAZAMAPICHA HAPA NA MAELEZO

Jonas akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na tukuo hilo muda mfupi baada ya tukio.


Mtoto wa Naibu Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro kusini mashariki Lucy Nkya amewaambia waandishi wa habari kwamba habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amerushiana risasi za moto na mama yake mzazi ofisini kwao mkoani Morogoro zimepotoshwa.

Jonas Nkya amesema kilichotokea alipokwenda ofisini hapo kuchukua gari akitokea shambani na bastola ilidondoka chini na ikajifyatua risasi moja na kuzua taharuki kwa watu.

“Kwanza mimi sina ugomvi wowote na mama yangu mimi nilikua shamba narudi nashangaa nimezungukwa na waandishi wa habari wakitaka kujua ukweli wa habari hizi”.

Mimi nashanga habari zilizozagaa kwenye mitandao zimetokea wapi.



Na Mwanaharakati.

No comments: