Ni eneo la nje ya hospitali hiyo katika kata miembeni eneo la Nyamkazi ambapo vifaa vyote vimeshakamilika tayari kwa kutoa tiba. |
Mkurugenzi wa COSAD Smart Baitani akionesha sehemu ya kuhifadhia mashuka ya hospital hiyo. |
Machine ya kupimia magonjwa mbalimbali. |
Ni machine ya Ultra sound |
Huu ni mzani wa kisasa wa kupimia watoto. |
Picha ya pamoja katika makao makuu ya ofisi za COSAD Kashura. |
Moja ya studio za kurekodia wasanii ambapo pichani ni Mac Ngaiza katika majaribio ya mitambo |
Nyumba ya kulala wafanyakazi wa COSAD |
Picha juu na chini ni kituo cha huduma na vitabu shule ya msingi Kiteyagwa. |
Picha juu na chini ni shamba la mbuzi katika eneo la Kagondo |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment