MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Sunday, 5 October 2014

BREAKING NEWS!!!SIKU YA WALIMU DUNIANI WALIMU WAITUMIA KUPELEKA UJUMBE KATIKA BUNGE LA KATIBA

Katika maadhimisho hayo yanayoendelea kitaifa mjini Bukoba mkoani Kagera mgeni rasmi akiwa waziri mkuu Pinda, walimu wameandamana wakiwa na mabango mnalimbali.
 
 
 
Katika mabango hayo kuna ujumne mbalimbali kuwa mishaara yao 370000/= ilhali serikali imetumia fedha nyingi kulipa wabunge wa katiba kwa siku moja laki3 kuwa hili halikubaliki.
Na Mwanaharakati.

No comments: