MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Saturday, 4 October 2014

BALOZI KAGASHEKI ATOA NYUMBA KWA SHIRIKA

Kulia na mh Kagasheki na kushoto anayeonekana mgongo ni mkurugenzi wa COSAD Bw Smart Baitan wakati wa chai ya pamoja nyumba kwa mbunge huyo, alipotembelewa na ujumbe wa COSAD.



Baba askofu Kilaini kushoto akiteta jambo na mmh mbunge Kagasheki muda mfupi kabla hawajazindua ofisi ya COSAD.

 Balozi Kagasheki ambaye ndiyo mbunge wa jimbo la Bukoba mjini, amesema kuwa amevutiwa sana na uwekezaji wa shirika hilo, hasa katika kuweka Kliniki ya kisasa ambayo itapunguza matatizo mengi ya wananchi anaowaongoza, huku akiahidi kushiriki nao na kusema kuwa nyumba aliyoitoa itasaidia kutumiwa na madaktari watakaokuwa wakitoa huduma katika hospitali hiyo yenye vifaa vya kisasa.
Ni balozi Kagasheki akikata utepe wa ofisi kuu ya COSAD Kagera iliyoko Kashura manispaa ya Bukoba.

Na Mwanaharakati.

No comments: