Taarifa zinasema kuwa mfumo mmoja wa meli hiyo umegoma kufanya kazi kuanzia saa nne usiku ikiwa katikati ya Bukoba na Kemondo ambapo walilazimisha mfumo wa zamani na kufanikiwa kufika Kemondo wakiwa salama.
Habari kamili inakujia.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment