Ni mwalimu aliyejulikana kwa jina la Richard Ndoile wa shule ya sekondari Muungano Himo mjini Moshi baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni (gest) ambapo mwanafunzi aliyekuwa akizini naye ni wa kidato cha tatu jina tunaliifadhi.
Kamanda wa polisi kituoni Himo Koka Moita, amesema kuwa raia wema walifuatilia mwalimu huyo alipokatiza mitaani amembeba binti huyo kwenye pikipiki na kumfuatilia hadi walipoingia gest ikiwa ni tarehe 4 oct 2014.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment