MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 10 October 2014

MWENYEKITI CHADEMA AMEKUBALI KAZI YA KINANA CCM.

Ni baada ya kusimama katika mkutano wake wa hadhara na kumwomba Kinana awasaidie kufungua na kuleta wahudumu mkatika zahanati, Kinana asema huyo 23015 lazima arudi CCM.

Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Utengule kwa tiketi ya Chadema, Parcras  Mkakatu akisikiliza maelekezo ya Kinana wakati wa mkutano kwenye zahanati ya Kijiji hicho.
Na Mwanaharakati.

No comments: