Ni katika mji wa Bukoba, baada ya wafanyabiashara ndogondogo katika mji huo ambapo taarifa za awali zimesema kuwa kijana huyo alitaka kufanya utapeli kwenye biasghara zao ndipo walianza kumpiga na baada ya wapita njia kumtetea wakalazimisha kumpeleka kituo cha polisimjini Bukoba huku akiwa anavuja damu baada kupigwa sehemu mbalimbali za mwili wake.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment