MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 17 October 2014

MAZISHI YA BABA WA MWANDISHI HABARI WA TBC YAFANYIKA KIJIJINI KWAO GERA

 Mwandishi Benjamin Rwegasira alikuwa mwandishi TBC ambavyo alipata ugonjwa wa kiharusi ijapokuwa kwa sasa anaendelea vizuri ila bado mkono wa kulia hauna uwezo wa kufanya kazi.
Benjamin Rwegasira akiwa na shangazi yake wakati wa ibada ya mazishi.

Mjane wa mzee William ambaye ni mama yake Benjamin akiweka udongo kwenye kaburi wakati wa mazishi.

Mwandishi Benjamin akiweka udongo wakati wa mazishi.


Mwandishi Nicolaus Mac Ngaiza katikapicha ya pamoja na mwandishi Benjamin Rwegasira
Na Mwanaharakati.

No comments: