Ni katika mkutano maalumu wenye elimu ya masuala ya kilimo katika jamii ya mkoa wa Kagera na kanda ya ziwa, baada Kituo cha utafiti Maruku kupitia mradi wa DONATA awamu ya pili kuzindua mradi wa viazi lisehe ambavyo vinakomaa kwa muda mfupi,huku vikitoa mazao mengi kwa wakatimmoja.
Pia jambo la mnyororo wa thamani limezungumzwa, katika kuhakikisha mazao yanayozalishwa hasa viazi lishe ambavyo vinatoa matunda mengi, kuviwekea mpango wa uzalishaji, usindikaji na uzaaji kupitia mnyororo huo wa thamani.
Moja ya makundi ambayo yameshapata faida ya matumizi sahihi ya mnoyororo wa thamani ni kikundi cha BUHEA ambacho ni cha wakina mama katikamanispaa ya Bukoba wanaozalisha unga, maziwa na bidhaa nyingine za viazi lishe na Soya. |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment