Ni ukarabati wa kanisa KKT Ibura ambao unatarajiwa kukamilika kwa sh milioni 80, ambapo katibu wa Diosis ya kaskazini magharibi Mchungaji ALMERICK KIGEMBE, ambapombunge wa jimbo la Bukoba mjini ameahidi sh milioni tano japo hakufika katika harambee hiyo kutokana na safari nje ya jimbo.![]() |
Kanisa laKKKTIbura wakatiwa ibaada ya harambee kuchangia ukarabatiwake. |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment