Picha juu na chini Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad
Mahmoud Al Said baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa wa
Kimataifa wa Muscat wa Royal Airport kwa ziara ya siku mbili ya kikazi
nchini humo Oktoba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment