Tetesi zinasema kuwa Naibu Waziri wa zamani wa Afya
na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za
moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro leo hii.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm mkoa wa Morogoro bw. Jonas Nkya |
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment