![]() |
Waziri mkuu Pinda akipata maelezo katika moja ya mabanda ambayo yanavifaa vya kufundishia kuhusu ges asilia, huku yakitumika madumu badaya ya mitungi halisi ya gesi, kwani inapatikana hapa Tanzania. |
![]() |
Baadhi ya makamanda wa ulinzi na usalama kutoka kushoto askari mshauri wa mgambo wilaya ya Bukoba, katikati Bw Jelemiah kutoka uhamiaji, na mmoja wa maafisa kutoka magereza Bukoba. |
Katika maadhimisho ya siku ya walimu duniani, ambayo kitaifa yalifanyika manispaa ya Bukoba, mgeni rasmi alikuwa waziri mkuu Tanzania Mizengo Pinda pamoja na manaibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Kasimu Majaliwa na Jenesta Muhagama, ambapo waziri mkuu Pinda aliwataka wakurugenzi kutochelewesha mahitaji mbalimbali ya walimu na walimu wanaopata nafasi kutowabania wenzao kwani na wao walitokea huko.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment