Ni baada mapendekezo ya tume ya uchunguzi kuhusu ESCROW iliyosomwa leo bungeni mjini Sodom.
Katika taarifa hiyo wametajwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na kidini huku mapendekezo yakiwataka kujipima nakuachia ngazi namamlaka kuwachukulia hatua za listeria.
Spika wa bunge Anne Makinda ameahirisha bunge hilo kwakusema kuwa serikali itatoa mamuzi kabla ya kikao cha bunge kesho ili wabunge wachangie kama hatua hazitachukuliwa.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment