Katika kikao cha leo, wachangiaji wa mjadala kuhusu ESCROW wamesema kuwa kuna kila sababu ya kutazama hali ya wananchi hasa baada ya kuona mali yao ikitafunwa na baadhi ya watanzania wenzao.
Tetesi inasema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus
Luoga kutokana na kuwa mmoja wa watu wanaotajwa chukuwa pesa za Escrow.
Inatajwa kuwa Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi
Benki.
Na Mwanaharakati.
No comments:
Post a Comment