MAC PRODUCTION STUDIO'S

MAC PRODUCTION STUDIO'S
KWA MATANGAZO YA BIASHARA REDIONI( 0767-814844)

Friday, 28 November 2014

BREAKING NEWS!!! KAFARA BUNGENI

Ni aidha waziri wa nishati na madini profesa Sospeter Muhongo au mwanasheria mkuu wa serikali Frederick werema ambaye amepewa nafasi kujieleza na anaendelea kujieleza hivi Sasa.

Hali isiyo ya kawaida imejitokeza baada ya viongozi muhimu katika CCM Stephen Wasira , Mac  Mwandosya na Mwigulu November, kuwabana katika mgogoro wa ESCROW na kuwataka wajipime haraka huku wakitakiwa kutekeleza watakayoambiwa muda si mrefu.
Na Mwanaharakati.

No comments: